Kama ulifatilia shindano la Miss Tanzania 2014 weekend iliyopita utakua unajua kilichotokea na kinachoongelewa ikiwa ni baada ya baadhi ya watu kupinga au kutoridhishwa na matokeo ya mshindi aliyet…
SAKATA LA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ALIYEOLEWA, MENGINE YAIBUKA
Ilikuwa Oktoba 7 mwaka huu, saa 1.00 asubuhi katika eneo la Mbondole, Kata ya Msongola, Wilaya la Ilala mkoani Dar es Salaam kulipozuka tafrani baada ya mwanamume mmoja kukamatwa akituhumiwa kumwe…
CCM YADAI MAKUBALIANO YA RAIS NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA HAYAZUII MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUENDELEA
Kamati kuu na halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi {NEC} zimekutana mjini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine vikao hivyo vimejadili mchakato wa bunge la katiba na kubainisha mafanikiano ya up…
CCM YADAI MAKUBALIANO YA RAIS NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA HAYAZUII MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUENDELEA
Kamati kuu na halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi {NEC} zimekutana mjini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine vikao hivyo vimejadili mchakato wa bunge la katiba na kubainisha mafanikiano ya up…
USHIRIKINA WASABABISHA WANAWAKE WAWILI WA FAMILIA MOJA KUCHINJWA HUKO SHINYANGA
Wanawake wawili kutoka familia moja wakazi wa kitongoji cha Nanzilo kijiji cha Ihugi,kata ya Lyamidati tarafa ya Nindo wilaya ya Shinyanga vijijini wameuawa kikatili baada ya kuchinjwa kwa panga na…
MAMA ANYWESHWA JUISI KISHA KUIBIWA MTOTO WA SIKU 4
Mtoto mwenye umri wa siku nane, ameibwa baada ya mama yake kunyweshwa juisi inayosadikiwa kuwa na dawa za kulevya. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Dodoma, Dk. Nassoro Mzee, alithibitisha k…
MWANASIASA AAHIDI KULA TAI NA SAA YAKE,MGOMBEA AKISHINDA URAIS,KWELI YATOKEA
Ni bora kuwa mwangalifu hasa kuhusu kile unachoahidi watu maana yanaweza ya kukuta kama yaliyomkuta mwanasiasa mmoja nchini Bolivia. Mwanasiasa huyu Jorge "Tuto" Quiroga, alikuwa mgombea wa urais k…
MSHANGAO MISS TANZANIA 2014, VIGEZO VILIVYOMPA USHINDI MMMMMMHHHHH....
Siku chache baada ya kutwaa Taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu ameibua mshangao wa aina yake kutokana na utata wa umri wake, Ijumaa limesheheni data. Miss Tanzania 2014, Sitti Ab…
MCHUNGAJI ATOROSHA MKE WA MTU
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji huyo. Mchungaji anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) …