Sunday, November 2, 2014

BINTI WA CHUO AMTUMIA BABA YAKE MZAZI PICHA ZA UCHI BADALA YA KUMTUMIA MPENZI WAKE


Binti Nymah Amhar Cousar.
 Mwanafunzi wa chuo anatamani angeweza kurudisha mshale nyuma baada ya kukosea kutuma ujumbe wa uchi kwa baba yake – badala ya kwa mpenzi wake.


 Nymah Amhari Cousar mkazi wa Inglewood, California, alituma picha yake kwa ‘Daddy’ yake wakati akiwa bafuni badala ya kwa mpenzi wake “Dasquan.” Hiyo ni kwa mujibu wa mtandao wa Twitter.

Majibizano ya binti na baba yake kwenye mtandao wa Twitter baada ya kutuma picha ya uchi.
 “OMG (Ooh my God), nitakataje ujumbe huu!!!” aliandika kwa woga.

 Akiwa amejifungia bafuni, baba yake alitaka afungue mlango. Alipokataa, alisema yupo chooni: Oh ushapata aibu zote sasa! Fungua mlango!.
Mazungumzo ya mwisho yanaonyesha kama kumaliza ugomvi kati ya baba na mwanaye.
 Nyjah alimuacha baba yake aingie ndani, alikuwa na hasira kwa binti yake kumkosea heshima”
 Baba yake alisema huo sio mchezo, kwani alitakiwa awe shuleni. Na ndipo alipomuuliza kuwa alikuwa anamtumia nani hiyo picha.

Ujumbe wa baba kwa binti baada ya kujaribu kumpigia binti bila mafanikio.

No comments:

Post a Comment