Rihanna ameingia matatani na mtandao wa Instagram baada ya kuweka picha hizi za uchi, alizopigwa kupamba gazeti la Lui. Mtandao huo uliifunga account ya Rihanna kwa kukiuka kanuni zao, na kumrudisha hewani mara baada ya mrembo huyo kuziondoa. Pamoja na kuingia matatani na Instagram, Rihanna pia amepost picha hizi katika mtandao wa Twitter, ambao wao wamemuacha aendelee na raha zake.
No comments:
Post a Comment