Thursday, November 13, 2014

MADHARA YA NGONO KINYUME NA MAUMBILE


1. Mwanamke anayefanyiwa mchezo
huu hupata matatizo makubwa wakati
wa kujifungua ikiwa ni pamoja na
kutokwa na haja kubwa mfululizo
wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa
mwanamke, kiasi cha kumshushia
hadhi yake mbele ya jamii.
2. Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile
kila akimsukuma atoke, pumzi hukata
kutokana na misuli inayofahamika kwa
jina la ‘sphincter’ kulegea na
kusababisha ambane mtoto.
3. Umri unaposonga, haja kubwa
hutoka bila kizuizi kutokana na misuli
ya sphincter inayobana njia ya haja
kubwa kulegea.
4. Inaweza kusababisha saratani ya
eneo hilo ‘cancer of colon’.
5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi
kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana
akitokea mwanaume alifanya kitendo
hicho kisha akafanya ngono kama
kawaida, bakteria wanaoishi sehemu
hiyo wanaingia na kuwa na madhara
makubwa.
6. Hasara yake kubwa mwanaume
anayekufanyia mchezo huwa hawezi
kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa
jamaa zake na kuonekana kituko mbele
za watu, kama umeolewa heshima yako
hupungua ndani ya ndoa.
Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni
kuwa na msongo wa mawazo na
kuilaumu nafsi yako. Nina imani
umeona baadhi ya madhara hatari kwa
mwanamke kuingiliwa kinyume cha
maumbile.
Mchezo huo ni mbaya, najua
aliyeuanza muda mrefu utamsumbua
kuuacha kutokana na hali anayokutana
nayo. Lakini ukiivumilia kwa muda
lazima itakata na kurudi kwenye hali
yako ya zamani —

No comments:

Post a Comment