MSANII MAARUFU WA MAREKANI LADY GAGA AMEPITILIZA UCHIZI SASA, ATEMBEA UCHI MTAANI, TAZAMA SINEMA YA BURE HAPA
Sio
Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa nguvu Mbali Hata Huko Marekani
Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili Majina yao yabakie midomoni mwa
Watu , Mwanamuziki
Mkubwa Lady Gaga Ambae amezoeleka kwa kuwa na vituko vingi awapo
jukwaani sasa amehamishia vituko mtaani baada ya kunaswa akitembea
akiwa amevaa T-shirt tu bila nguo chini kitu kilichofanya watu
kumshangaa kila anapopita....
No comments:
Post a Comment