Hata hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni Jumanne wiki hii ndio spika zako zitakupa dakika za hii kolabo inayoitwa siri ambayo inamuhusisha mkali mwingine aitwae Barnaba. @BarnabaClassic
Monday, November 17, 2014
Ni time ya kuziona picha zinazoikaribisha single mpya ya Barnaba na Vanessa Mdee
Hata hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni Jumanne wiki hii ndio spika zako zitakupa dakika za hii kolabo inayoitwa siri ambayo inamuhusisha mkali mwingine aitwae Barnaba. @BarnabaClassic
No comments:
Post a Comment