Friday, November 14, 2014

Ulikuwa mbali na TV?mimi nilitazama BBA nikakuchukulia hizi picha za Dj Tass



.
.
Ifikapo Ijumaa  washiriki wa shindano la Big Brother Africa Hotshots wana enjoy good music na kufurahi  kwa pamoja kabla ya kutolewa washiriki walioingia kwenye kikango cha Eviction wiki hii.Hizi ni baadhi ya picha ambazo washiriki wakiserebuka ndani ya mjengo burudani ikitolewa na Dj Tass kutokea Tanzania.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment