Friday, November 14, 2014

UNAJUA ALICHOFANYA MDOGO WAKE BEYONCE .SOLANGE NA HUYU MWANAUME


Taarifa mpya kuhusu Mdogo wa msanii wa Rnb Beyonce 'Solange Knowles' ni kwamba anakaribia kuolewa ndani ya siku chache zijazo na mpenzi wake wa muda mrefu Alen Ferguson mwenye miaka 51.

Hii itakuwa ndoa ya pili kwa Solange baada ya kuvunjika kwa ndoa yake ya kwanza na Daniel Smith.

Hizi Picha Zao Pamoja na Beyonce.





Video ya warembo walivyotembezwa bila nguo baada ya kuvaa vimini, Bofya hapa chini kuTizama

No comments:

Post a Comment