Kwetu tunaamini mchawi aliyekubuhu, ni yule aliyeuwa watu wengi zaidi.
Au hata ukimuona dereva anakimbiza gari barabarani unaamini ana uzoefu
wa udereva wa mda mrefu na atakuwa ameshawahi kuendesha magari mbali
mbali.
Sasa
linapokuja swala la mahusiano, ninaona watu wanalalamika kuhusu ujuzi
wa wenzi wao. Ingekuwa mimi, endapo mwenzi wangu angekuwa na kiwango
kidogo cha ujuzi kwenye maswala ya chumbani, lingekuwa jambo la furaha
na kheri.
Pale
unapotaka mpenzi wako awe na ujuzi wa PhD katika maswala ya chumbani,
wewe unataka awe amejifunzia wapi? Kama unataka mjuzi, nenda kachukue
Changu doa ambaye anajua michezo yote...
Dada
zetu waliofunzwa wakatulia, na kaka zetu au wadogo zetu waliofunzwa
wakatulia technically watakuwa na ujuzi mdogo na over the time katika
maisha yao ya mahusiano (ndoa) wataweza kujifunza na kuimprove.
Ukimpata
yule anayekupeleka puta, inabidi ukae chini na ujiulize atakuwa
amewapitia au amepitiwa na wangapi mpaka akapata utaaalam huo?
NB: Sio wote wenye utaalam wa chumbani wanahistoria ndeefu (mbaya) ya kwenye mahusiano...
<<<<MAGAZETI YA LEO JUMAPILI BOFYA HAPA>>>>
No comments:
Post a Comment