.
Alhamisi ya Nov 20 Diamond Platnumz ameibariki siku hii kwa kuachia
video na audio ya wimbo wake mpya unaoitwa Nitampata wapi,kwenye radio
station,tv na kwenye mitandao.
Video hii ambayo kwa mara ya kwanza ilianza kuonyeshwa Nov 19 kupitia
kituo cha MTV BASE,kama hukufanikiwa kuiona unaweza kuiona kwa
kubonyeza play hapo chini.
No comments:
Post a Comment