Tuesday, December 23, 2014

HAWA NDIO WALIOVUNJA REKODI KWA KUFUNGA HARUSI WAKIWA WATUPU KABISA KAMA WALIVOZALIWA


Bwana na bibi harusi Gypsy Taub na Jaymz Smith walifunga ndoa katika harusi ya aina yake ambapo wanaharusi hao walikuwa uchi wa mnyama. Harusi hiyo ilifanyika katika jiji la San Fransisco, California, nchini USA na ilishuhudiwa na umati wa ndugu, marafiki, na watu wengine waliotaka kujionea. Kwa ambao umri unaruhusu, video ya harusi hiyo inaonekana hapa

No comments:

Post a Comment