Utafiti
mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda
kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano
mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.
Ripoti hiyo ya utafiti iliyotolewa na
Taasisi ya Kitaifa ya Usingizi (NSF), inaeleza umuhimu wa watu kulala
bila nguo kuwa ni kuimarisha uhusiano kwenye ndoa na kupunguza kalori
nyingi.
Wataalamu wa usingizi wanasema kwamba ni vizuri mtu akawa katika hali ya utulivu wakati wa usiku kwa kuwa joto la mwili linahitaji kuteremka hadi nyuzi 50 za kipimo cha Fahrenheart ili mtu aweze kulala.
No comments:
Post a Comment