Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza
kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe
msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi
ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita.
Nicki
amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na
nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya kwanza kwenye Billboard, huku Minaj
sasa akiwa amefikisha nyimbo nne.
Da Brat na Iggy Azalea ambao
wote wana nyimbo mbili zilizofanikiwa kukamata nafasi ya kwanza
wanakamilisha idadi ya wasanii wa
No comments:
Post a Comment