Picha kwa hisani ya @selfielife instagram
Inasemekana kuwa mwigizaji na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi japokuwa hadi sasa Patcho au watu wake wakaribu hadi sasa hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.

No comments:
Post a Comment