Monday, February 16, 2015

MREMBO WA UKWELI AGNESS MASOGANGE AMDATISHA MWANAUME WA SOUTH AFRICA MPAKA AMETANGAZA NDOA


Yule mwanadada, ambaye ni video queen na role model wa teenage girls katika ka nchi ka Tanzania tena anayekumbukwa na wengi kwa kusafirisha panadol zenye thamani ya bilioni 6 kwenda South Africa anatarajiwa kuolewa karibuni

Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana.

Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi.

UFUSKA: VIDEO QUEEN MAARUFU BONGO NA MCHEKESHAJI WAJIREKODI WAKIFANYA NGONO

Aibu! Mrembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wamepiga picha za ngono kisha kusambaa hadi kulifikia deski la Ijumaa Wikienda.

Mrembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wakijiachia.
Picha hizo chafu zilitua mezani kwetu wikiendi iliyopita ikiwa ni siku mahususi kwa wapendanao.
Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa kwenye ‘bedi’ huku wakifanya yao.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Stan na Tunda, wawili hao wemekuwa kwenye ‘malovee’ siku nyingi na kupiga picha za ngono kwao si ishu maana wote hawana mshipa wa aibu kwa kuwa ni wasanii.
Ilisemekana kwamba tangu Stan aanze kuigiza amekuwa akifanya mambo ya aibu tofauti na jinsi anavyoonekana.
Stan Bakora na mrembo huyo wakiendelea kula ujana.
Pia ilidaiwa kwamba Tunda naye si mwoga kwenye mambo hayo ndiyo maana hata anapoombwa kuwa katika video za wasanii mbalimbali huwa haoni aibu kujiachia mtupu.

“Tunda ni video queen ambaye ameonekana kwenye video nyingi sana za wasanii kama kwenye Wimbo wa Barnaba na Amini unaokwenda kwa jina la Why Me, wimbo wa Matonya aliomshirikisha Christian Bella wa Agwelina, wa TID mpya unaoitwa Wewe Ndo Unanipa Raha, wa Christian Bella, Dully Sykes na Tanzanite unaitwa Ndombolo ya Solo na Wimbo wa Timbulo unaoitwa Sina Makosa,” kilisema Chanzo chetu.
Wawili hao wakitomasana.
Kwa upande wake, Stan anafanya poa kwa sasa katika filamu za kuchekesha akiwa karibu na mkuu wake wa kazi, Mussa Yusuph ‘Kitale’ na wanafanya safi pia kwenye vibwagizo ambavyo vinarushwa kila mara katika Kituo cha Redio EFM.
Wawili hao walipopigiwa simu kwa nyakati tofauti hawakuwa na majibu ya kueleweka zaidi ya kujing’atang’ata kwa aibu.

UGANDA: ULALAAA HEBU JIONEE MABINTI WA UGANDA WANAVYOJIACHIA SIKU HIZI KWENYE CLUB ZAO>>>HAKIKA MOTO WA MILELE UTAANGAMIZA WENGII>>>


Women! Women! Women!! wololo! what you wear talks so much about you…This lady decided to expose it all ,during a party in some Club in Uganda… See the photos ( Hit/Miss )













USIMWAMBIE MTU>>>HII NDIO BAR HAPA TOWN AMBAYO WAHUDUMU WAKE WAMEJAZIA NAMNA HII>>>>>KITU AMBACHO HUWAFANYA WANAUME WENGI KUMIMINIKA>>>>IFAHAMU HAPA


The owner of the club has come up with  a strategy to attract Vidume to his club,he knows that African men in general like women with big behinds and that is why he has employed big b00ty women and it has worked like magic because the club is always full to capacity.Check it out