Aibu! Mrembo
anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo
Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora
wamepiga picha za ngono kisha kusambaa hadi kulifikia deski la Ijumaa
Wikienda.
Mrembo
anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo
Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora
wakijiachia.
Picha hizo chafu zilitua mezani kwetu wikiendi iliyopita ikiwa ni siku mahususi kwa wapendanao.
Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa kwenye ‘bedi’ huku wakifanya yao.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Stan na Tunda, wawili hao wemekuwa kwenye ‘malovee’ siku nyingi na kupiga picha za ngono kwao si ishu maana wote hawana mshipa wa aibu kwa kuwa ni wasanii.
Ilisemekana kwamba tangu Stan aanze kuigiza amekuwa akifanya mambo ya aibu tofauti na jinsi anavyoonekana.
Pia
ilidaiwa kwamba Tunda naye si mwoga kwenye mambo hayo ndiyo maana hata
anapoombwa kuwa katika video za wasanii mbalimbali huwa haoni aibu
kujiachia mtupu.Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa kwenye ‘bedi’ huku wakifanya yao.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Stan na Tunda, wawili hao wemekuwa kwenye ‘malovee’ siku nyingi na kupiga picha za ngono kwao si ishu maana wote hawana mshipa wa aibu kwa kuwa ni wasanii.
Ilisemekana kwamba tangu Stan aanze kuigiza amekuwa akifanya mambo ya aibu tofauti na jinsi anavyoonekana.
“Tunda
ni video queen ambaye ameonekana kwenye video nyingi sana za wasanii
kama kwenye Wimbo wa Barnaba na Amini unaokwenda kwa jina la Why Me,
wimbo wa Matonya aliomshirikisha Christian Bella wa Agwelina, wa TID
mpya unaoitwa Wewe Ndo Unanipa Raha, wa Christian Bella, Dully Sykes na
Tanzanite unaitwa Ndombolo ya Solo na Wimbo wa Timbulo unaoitwa Sina
Makosa,” kilisema Chanzo chetu.
Kwa
upande wake, Stan anafanya poa kwa sasa katika filamu za kuchekesha
akiwa karibu na mkuu wake wa kazi, Mussa Yusuph ‘Kitale’ na wanafanya
safi pia kwenye vibwagizo ambavyo vinarushwa kila mara katika Kituo cha
Redio EFM.Wawili hao walipopigiwa simu kwa nyakati tofauti hawakuwa na majibu ya kueleweka zaidi ya kujing’atang’ata kwa aibu.
No comments:
Post a Comment