Kama ulifatilia shindano la Miss Tanzania 2014 weekend iliyopita
utakua unajua kilichotokea na kinachoongelewa ikiwa ni baada ya baadhi
ya watu kupinga au kutoridhishwa na matokeo ya mshindi aliyetangazwa
ambae ni Sitti Mtemvu mtoto wa mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu.
Kumekuwepo na malalamiko mengi sana hasa kwenye mitandao ya kijamii
ambako zimesambazwa hadi picha zake pamoja na hati za kusafiria, ishu
nyingine ikizungumzwa kwamba kuna uwezekano amedanganya umri na elimu
yake.
haya ndio aliyoyaandika rapper Fid Q kuhusu malalamiko ya Watanzania yanayoendelea juu ya umri wa mrembo huyu.
No comments:
Post a Comment