Wednesday, November 12, 2014

BREAKING NEEEEWS..!! BASI LA WIBONELA LAPINDUKA NA KUUWA WILAYANI KAHAMA ASUBUH HII



Huzuni na majonzi imetanda leo katika mji wa kahama baada ya bus la Wibonela Express linalofanya safari zake  Kahama -Dar kupinduka baada ya kutoka stand kuu ya kahama km chache toka stand katika eneo la Phantom  na kuua watu wanne.

Kwa taarifa za awali chanzo chz ajali hiyo ni mwendo kasi na Taarifa Rasmi na picha zaidi zitawajia hapo baadae.
 
www.farajimfinanga.com inakupa taarifa hizi na inakuomba uendelee kufuatilia taarifa zetu.





 












No comments:

Post a Comment