Wednesday, November 19, 2014

KICHOENDELEA KUHUSU ILE KESI YA LULU YA KUUWA BILA KUKUSUDIA? HICHI NDIO KINACHOENDELEA KWA SASA


Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi Mchanganyiko limetonywa.Kwa mujibu wa chanzo makini, kuna uwezekano mkubwa wa kesi hiyo kusikilizwa tena Februari mwakani kutokana na mlolongo mkubwa wa kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment