Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili
mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo
kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi
Mchanganyiko limetonywa.Kwa mujibu wa chanzo makini, kuna uwezekano
mkubwa wa kesi hiyo kusikilizwa tena Februari mwakani kutokana na
mlolongo mkubwa wa kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu ya Tanzania.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment