Lamborghini Aventador ya Chris Brown baada ya kuchorwa mashairi ya wimbo wa 2Pac.


Chris Brown (kulia) akiwa na mchora tattoo Huero.

Ujumbe alioandika Chris kupitia Facebook.

Huero akiwa kazini.
MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown ameamua kuchora mashairi 'Lyrics' za wimbo wa marehemu Tupac Shakur uitwao 'Lord Knows' kwenye gari lake la kifahari aina ya Lamborghini Aventador.
Gari hilo lina thamani ya Dola za Kimarekani 500,000 sawa na shilingi milioni 864 za Kibongo.
Kazi hiyo ya kulichora gari hilo imefanywa na mchora tattoo maarufu jijini Los Angeles, Huero ambaye alitumia muda wa masaa 16 kuikamilisha kazi hiyo.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top