Mtoto wa mwanamke mmoja amefariki wakati
mama yake alikuwa anapandishwa kizimbani baada ya kukamatwa akiuza
bidhaa barabarani kinyume na Sheria.
Mtoto mwenye umri wa miaka miwili
amegongwa na gari na kufa katika Makao Makuu ya Halmashauri ya jiji la
Kampala KCCA, ambapo mama yake Madina Namakula alifikishwa Mahakamani
Kampala, Uganda, kusomewa shitaka lake ambapo wakiwa Mahakamani hapo
ndipo mtoto huyo alipopata ajali hiyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema kuwa Polisi wamesababisha kifo cha mtoto huyo.
Mtoto huyo amezikwa leo Kampala, Uganda.
Hii ni Habari iliyosomwa na kituo cha WBS Uganda, unaweza kuikiliza hapa.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment