Mpenzi wangu ni mfanya biashara sikatai kwakweli anashughuli nyingi zinazomfanya achoke sana, lakini mi napata wasiwasi sasa hivi kila siku akirudi yeye amechoka tu, kila siku tunalala mzungu wanne tu yani hata anigusi, mimi nashindwa kumuelewa kwakweli huo ni uchovu gani kila siku kwani hajui kama mimi namuhitaji pia..!! Nampenda sana mpenzi wangu naogopa kumsaliti lakini kwakweli simuelewi..!! NAOMBENI USHAURI

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top