Beyonce alitokea kwenye party hiyo ya nguvu iliyofanyika Indywood Cinema Theatre, lakini Jay Z na mwanaye Blue Ivy hawakuhudhuria, japo Beyonce alionyesha mwenye furaha na tabasamu wakati wote mbali na familia yake kutoshiriki naye.
Haijafahamika sababu ya Jay Z kutoshiriki katika sherehe hiyo, japo comments za watu wengi mitandaoni wanahisi ni ‘beef’ iliyokuwepo baina ya Jay na Solange lakini wao walishawahi kunukuliwa mara kadhaa na vyombo vya habari kwamba hakuna tofauti zozote baina yao.
“…. Mwisho
wa siku familia huwa na matatizo na sisi hatuna tofauti na hiyo..
Tunapendana na katika yote sisi ni familia. Tumesahau kila kitu na
tunaamini kila mmoja atafanya hivyo..”– Solange
Solange ana miaka 28 wakati Alan ana
miaka 51, moja ya nukuu maarufu ambazo Solange amezisimamia ni ile
inayopingana na masuala ya umri kwenye mahusiano ya kimapenzi; “…Age is an issue of mind over matter. If you don’t mind, it doesn’t matter..”
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment