Saturday, December 20, 2014

"NIMEDATA NA PENZI LA MKE WA MTU JAMANI, NIFANYEJE?"......MDAU


Jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa mbali mbali kwa biashara zake. 
 
 Tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first time nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.

No comments:

Post a Comment