Jamani
nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa
ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa
mbali mbali kwa biashara zake. Tatizo
limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata
kusikia, first time nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya
siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.
Post a Comment