KenyaKulikuwa na story kutoka 254 Kenya ambapo Mchungaji mmoja Peter Kanyari alikumbwa na kashfa ya kufanya uponyaji ambao watu walidai kuwa haukuwa na miujiza ya ukweli ndani yake, bali ni watu waliokuwa wanaandaliwa ili wadanganye watu kwamba wameponywa na Mchungaji huyo.
pastor-kanyari-
Sasa leo nimekutana na video hii Youtube, nimekuwekea uone ambavyo huyu bwana anajibu maswali akiigiza kama ndio Mchungaji Kanyari.


Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top