Jana ndio siku ambayo yalifanyika mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda katika makaburi ya Kibada, Kigamboni Dar es Salaam baada ya uchunguzi wa postmortem kukamilika katika Hospitali ya Muhimbili.
Watu mbalimbali walijitokeza
kumsindikiza msanii huyo kwenye safari yake ya mwisho duniani, unaweza
kuona matukio yote kwenye picha hizi.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment