Nguvu ya mitandao ya kijamii ni kubwa sio tu iliweza kusababisha mtu akajivuta taji la U-Miss bali hadi kuwapa ushidi kina Diamond na Idris..sasa sijui hii ya hii picha ya Jambazi la Bongo Movie ingetupeleka wapi.
Picha hii  inasambaa kwa kasi sana mitandaoni, imuonyesha jambazi akimuonyesha bastola mwandada (ambae bila shaka anaonekana mwigizaji Irene Uwoya). Sasa cha kishangaza wengi ni kwamba “kaka jambazi” amevua viatu!!!!!. Hii imepelekea watu wengi kuiponda sana tasnia ya filamu hapa nchini kuwa hawako “ serious” na kazi yao.
Hii imemfanya mwigizaji Jackline Masawe "Wolper" kutolea ufafanuzi, na hivi ndivyo alivyofunguka;
“Nimeona watu wengi wanapost hii pcha jamani hii walikua katika majaribio yani kabla camera aijawashwa lazma Muongozaji aone mnachofanya kma iko sawa ndo camera inawashwa sasa ktka majarbio haya kuna watu pemben na mambo ya insta ndo watu wanapost kwamba wapo location sasa unapopost bila kujua nakuponda au kushangaa mnakua mnazingua mjue kwanza ndo mpost ..sjui tumeelewana wajameni!!?”

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top