Denti wa chuo anayefahamika kwa jina moja la Martha akiwa mtupu kitandani.
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga picha akiwa mtupu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Tabata, ambako alikwenda akiwa na nguo za shule, tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika
mtandao mmoja wa kijamii makusudi na bwana’ke, anayedaiwa kuwa ndiye
aliyempiga kwa ridhaa yake mwenyewe kabla ya kukorofishana.
Inadaiwa kuwa picha hizo ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika
blogs karibu zote nchini, hatimaye zilimfikia msichana huyo anayedaiwa
kuishi Tabata, ambaye kwa aibu, alimtumia msichana mwingine.
Picha ya Martha ya utupu akiwa bafuni.
Baada ya Martha kumtumia msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la
Lilian aliyedai kuwa ni dada yake, akimlaumu mmiliki wa mtandao kwa
kuzirusha picha za mdogo wake bila kuuliza zilikotoka.
Gazeti hili linayo majibishano yaliyorekodiwa kati ya dada na mmiliki huyo, ambako Lilian alitishia kulipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria, tishio ambalo lilikebehiwa.
Gazeti hili linayo majibishano yaliyorekodiwa kati ya dada na mmiliki huyo, ambako Lilian alitishia kulipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria, tishio ambalo lilikebehiwa.
Martha akipozi bafuni bila haya.
“Usitutishe, hizi picha kazipiga mwenyewe kwa pozi tofauti, unataka
sisi tufanyaje na aliyempiga ni bwana’ke, kwanza huu ni ulimbukeni na
tunazisambaza makusudi ili liwe funzo kwa wengine wanaofanya ujinga
huu,” alisema mmiliki huyo.
BOFYA HAPA ..
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment