Sifa za mabwana wa Kisukuma.
Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.
Hawahusu majungu, wambeya hata wampelekee semi trailer la majungu kamwe hawasikilizi.
Wako fit kitandani na hawachoki. Wasukuma wanapiga mabao kumi na mbili na bado wakitoka hapo wanaenda kupiga puli mabao manne.
Hawana majisifu kama kina Mutashobya, Rugakingira, Rweyemamu etc.
Hawana roho mbaya wala za kwanini.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment