Kwa Wale ambao
tunapata bahati ya maskio yetu kupata udaku wa hapa na pale bila shaka
tumeshawahi kulisikia hili, " Ukipiga Sipu ya Pweza Kabla ya Mechi"
Basi Uwanjani Patachimbika. Leo tutajaribu kudadavua kwa upande wetu hili
limekaa vipi?
Kwanza kabala sijaenda mbali zaidi napenda niseme kwamba hii ni dhana ya kisaikolojia, ambayo hukupa fikra ya kimchezo zaidi unapokuwa na mkeo, pia hukupa ujasiri na ushujaa wa kuutawala Mchezo, ni nzuri kiupande mmoja, lakini haina 100% ukweli. Performance yako inatokana na kujiandaa na kuwa kimchezo zaidi.

Kama nilipoeleza
hapo awali kuhusu vyakula kwa ajili ya afya ya mapenzi, nilizungumzia
"nyama" (Red meat) ikichomwa huongeza mafuta na protein ambayo
uhitajika zaidi kipindi cha mchezo. Pweza kama pweza, huangukia upande huu pia,
huleta mafuta na protein, kinachochangia zaidi ni ile imani uliyo kichwani
kwako, hii hufanana na mwanaume aliekunywa vidonge vya kuongezea nguvu za
kiume, mathali "Enjoy" au Erecta 2.5, Huwa na uhakika wa kufanya
vizuri mchezoni kama mwanafunzi aliyeingia katika chumba cha mtihani akiwa na
"Chabo/Nyenzo/Kibomu" obvious atakuwa na asilimia kubwa ya ushindi.
Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.
Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment