Jana ndio siku ambayo yalifanyika mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda katika makaburi ya Kibada, Kigamboni Dar es Salaam baada ya uchunguzi wa postmortem kukamilika katika Hospitali ya Muhimbili.
Watu mbalimbali walijitokeza
kumsindikiza msanii huyo kwenye safari yake ya mwisho duniani, unaweza
kuona matukio yote kwenye picha hizi.
Mnenguaji
Super Nyamwela akielekea makaburini. Huyu ni mmoja ya waliofanya kazi
kwa muda mrefu zaidi na marehemu Aisha kwenye muziki.
Msanii
Ally Choki, huyu pia ni mmoja ya wasanii waliofanya kazi na Marehemu
Aisha Madinda kwa muda mrefu wakiwa kwenye Bendi za Twanga Pepeta na
Extra Bongo.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.