Kwenye list ya mastaa wa Bongo Flevs walio katika uhusiana ya
kimapenzi basi lazima couple hii uhusishe ambayo Dec 20 imeingia katika
hatua ya juu baada ya Nuh Mziwanda kumvisha pete ya uchumba Zuwena
Mohamed aka Shilole.
Tukio hilo special la wapenzi hao wawili lilifanyika usiku wa kushereherekea siku ya kuzaliwa kwa msanii wa Bongo Fleva Shilole ambaye aliwaalika ndugu,jamaa na marafiki mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake.

Mtu wa nguvu Faraja Kyerwanda ambaye ni mtayarishaji wa Amplifaya ya Clouds FM ukiwa na msanii Linah Sanga.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.