Huwa ni kawaida mimi na mke wangu kutoka asubuhi na kuelekea kwenye mitikasi yetu kazini na kumuacha dada wetu wa kazi hapo nyumbani, ni binti safi na anaonekana mwenye kujiheshimu sana. 

Siku moja mke wangu aliwahi kidogo 
kutoka kazini kwani hakuwa akijisikia vizuri, alipata ruhsa na kurudi 
nyumbani alipofika alimkuta dada wetu wa ndani na mwenzake dada wajirani
 yangu ambaye pia namfahamu.
Haikuwa tatizo sana kwani walikuwa 
kwenye hali ya kupiga tu story na vicheko vya hali ya juu sana. Basi 
niliporudi nyumbani mke wangu alinihadithia hiyo hali lakini niliona 
hakuna tatizo kwani pia namfahamu kuwa ni dada wa jirani angu.
Siku nyingine ilikuwa majira ya jioni 
mke wangu simu yake ilikuwa haina charge tena nakumbuka siku hiyo umeme 
ulikuwa hakuna, na alikuwa na shida ya mhimu ya kupiga alimuomba dada wa
 kazi simu yake ili aweza kufanya mawasiliano. Dada alimpa mke wangu ila
 alikuwa ni kama mtu ambaye hakuwa na amani kabisa. 
Mke wangu alichukua simu na kuweka line 
yake na kufanya mawasiliano. baada ya kumaliza tu kwanza alikutana na 
picha imewekwa kama screen saver ambayo ndio hiyo hapo juu . Picha yake 
akiwa uchi na mwenzake yule dada wa kazi wa jirani akiwa nyuma yake. 
Roho ikamuambia aingia kwenye gallery yani upande wa picha.
Hakuamini macho yake pale alipokutana na
 picha za wadada hao wakisagana, picha za uchi zilikuwa zimejaa kwenye 
simu hiyo. Alichukua simu na kunionyesha uchafu huo. Mpaka sasa hivi 
nipo kimya sijamuuliza chocho. NAOMBENI USHAURI WADAU NICHUKUE HATUA 
GANI?
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
 
 
Post a Comment