TVNi siku ya 42 tangu kuanza kwa mashindano ya Big Brother Africa na idadi ya washiriki inazidi kupungua kadri siku zinavyozidi kusonga ambapo usiku wa Novemba 16 2014 washiriki wengine wawili wametolewa.
Aliyekuwa anaiwakilisha Afrika Kusini, Samantha pamoja na Achalume Malick a.k.a ‘Mr. Numbers’ au Mr. 265 mshiriki wa Malawi wametolewa kwenye Mashindano hayo.
Mr.265, Mwakilishi wa Malawi aliyetolewa BBA Hotshots.
Mr.265 Mwakilishi wa Malawi aliyetolewa BBA Hotshots.
Samantha, mwakilishi wa Afrika Kusini aliyetolewa ndani ya Jumba la Big Brother jana.
Samantha, mwakilishi wa Afrika Kusini aliyetolewa ndani ya Jumba la Big Brother jana.
Mr. 265 amesema mbali na ugumu wa mashindano hayo, ameinjoy kuwa ndani ya jumba hilo ambapo kwa upande mwingine baada ya hawa washiriki kutolewa kuna washiriki wengine 12 waliobakia ndani ya jumba hilo.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
17 Nov 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top