Mbongo
 Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimhagi msanii mrembo mkali 
kuliko wote Afrika Mashariki,  Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss Lady.
HABARI YA TAUNI
Habari
 ya ‘mujini’ ilidai kwamba, mahaba ya wawili hao yalianzia safarini 
walipokutana kwenye ndege moja wiki iliyopita ambapo Diamond alikuwa 
akitokea nchini Nigeria kupitia Afrika Kusini kisha Dar huku Zari 
akitokea Afrika Kusini kuelekea Dar kibiashara.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mastaa hao walipokutana kwenye ndege waliungana na kupiga picha za pamoja kisha safari yao ya mahaba niue ikaanzia hapo
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
 
Post a Comment