Tukisema
dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia
Mungu sasa. Vijana hawo juu wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi wote
wakiwa chumba kimoja
na
wasichana wao.Najua msomaji utashituka sana kwamba kwani kosa ni nini
hapo, ila kwa wale wanajua sheria vizuri nadhani watajua kwamba hil ni
kosa la jinai.
Taarifa
zinasema baada ya watu kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao
wakliwa na wapenzi wao wote wakira uroda kwenye chumba kimoja, msamalia
mwema alikwenda polisi kutoa taarifa na mara maaskari walikuja na
kuwakuta vijana ndani ya mambo kitu roho inapenda(UTAMU KUNOGA).
Kwa sasa vijana hawa wanashikiliwa na polisi tayari kwa kufikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo.
Miongoni mwa vijana hawo ambao mmoja wapo ameweza kutambuliwa kwa jina ni Jesse Orowo Omokoh raia wanigeria
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment