Tukisema dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia Mungu sasa. 


Vijana hao juu wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi wote wakiwa chumba kimoja na wasichana wao.

Najua msomaji utashtuka sana kwamba kwani kosa ni nini hapo, ila kwa wale wanajua sheria vizuri nadhani watajua kwamba hil ni kosa la jinai. 
Taarifa zinasema baada ya watu kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao wakiwa na wapenzi wao wote wakira uroda kwenye chumba kimoja, msamaria mwema alikwenda polisi kutoa taarifa na mara maaskari walikuja na kuwakuta vijana ndani ya mambo kitu roho inapenda(UTAMU KUNOGA). 

Kwa sasa vijana hawa wanashikiliwa na polisi tayari kwa kufikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo. 


Miongoni mwa vijana hawo ambao mmoja wapo ameweza kutambuliwa kwa jina ni Jesse Orowo Omokoh raia wanigeria

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top