Hii ni zaidi ya mwaga mboga nimwage ugali….Team Wema imeamua sio tu kumwaga ugali ila kutoboa sufuria na kuzima mato ili pasipikwe kabisa, 

Mashabiki wa Wema Sepetu wameamua kuvaa miwani za mbao na kumfanyia udalali wa mapenzi boss wao kwa aliekuwa mme wa le project Zari the bosslady bwana Ivan, amsha amsha hizo zimeanza punde tu baada ya wema mwenyewe kuanza kumfollow Ivan.

maskini baba wa watu hadi kishapachikwa jina eti aitwa Ivanwema (ila madam mbona siku zote hukumfollow jamaa why sahivi?…mi nawaza tu)Wema ndo amekuwa wa kufanyiwa udalali hivi kama kiwanja cha bondeni duh! ndo njia ya kumfariji hiyo? huku ni kuaibishana tu na hizi teamushuzzz!!!Haya tunangoja project ya Ivan na Madam….!!!!

Soma Hapa:

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top