Kulikuwa na story kutoka 254 Kenya ambapo Mchungaji mmoja Peter Kanyari
alikumbwa na kashfa ya kufanya uponyaji ambao watu walidai kuwa haukuwa
na miujiza ya ukweli ndani yake, bali ni watu waliokuwa wanaandaliwa
ili wadanganye watu kwamba wameponywa na Mchungaji huyo.
Sasa leo nimekutana na video hii Youtube, nimekuwekea uone ambavyo huyu bwana anajibu maswali akiigiza kama ndio Mchungaji Kanyari.
Post a Comment