Tukio
la aina yake limetokea huko Kilimanjaro wilaya ya Same baada ya
Msichana mrembo ambaye inasemekana na mke wa Police (JINA TUNALIHIFADHI)
alyeamua kuchepuka na kijana ambaye inasemekana ni mtoto wa mjini
aliyeamua kumkomoa Mke wa Afande kwa kumchukua Video makusudi wakati wakichepuka
na kuamua kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii...Ripota wetu ambaye
yupo Same alitudokeza kwamba binti huyo kwa sasa anahangaika juu chini
ili mumewe asiweze kuipata video hiyo ambayo imeshasambaa kila kona
wilayani hapo, Hivi dada zetu huwa mnafikiria nn mpk mnakubali
kurekodiwa video na vijana wahuni ambao hawana nia njema kwenu?Hembu
tazama mnavyodhalilishwa hivyo.....HAYA SASA
VIDEO TUTAIWEKA BAADA YA UCHUNGUZI KUFANYIKA
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment