IMG_1212
Jana ndio siku ambayo yalifanyika mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda katika makaburi ya Kibada, Kigamboni Dar es Salaam baada ya uchunguzi wa postmortem kukamilika katika Hospitali ya Muhimbili.
Watu mbalimbali walijitokeza kumsindikiza msanii huyo kwenye safari yake ya mwisho duniani, unaweza kuona matukio yote kwenye picha hizi.
IMG_1268
Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars Entertainment, Asha Baraka akiwa msibani.
IMG_1243
Waombolezaji wakitoa msaada kwa mtu aliyepoteza fahamu.
IMG_1145
.
IMG_1152
.
IMG_1178
.
IMG_1202
.
IMG_1206
.
IMG_1212
.
IMG_1231
.
IMG_1241
.
Mnenguaji Super Nyamwela akielekea makaburini. Huyu ni mmoja ya waliofanya kazi kwa muda mrefu zaidi na marehemu Aisha kwenye muziki.
Mnenguaji Super Nyamwela akielekea makaburini. Huyu ni mmoja ya waliofanya kazi kwa muda mrefu zaidi na marehemu Aisha kwenye muziki.
Msanii Ally Choki, huyu pia ni mmoja ya wasanii waliofanya kazi na Marehemu Aisha Madinda kwa muda mrefu wakiwa kwenye Bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo.
Msanii Ally Choki, huyu pia ni mmoja ya wasanii waliofanya kazi na Marehemu Aisha Madinda kwa muda mrefu wakiwa kwenye Bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo.
IMG_1249
.
IMG_1271
.
IMG_1283
Mzee Zahir Ally Zorro alikuwa mmoja ya waombolezaji hao.
IMG_1288
.
IMG_1291
.
Mtoto wa Marehemu Aisha, anaitwa Feysal Madinda
Mtoto wa Marehemu Aisha, anaitwa Feysal Madinda akiwa makaburini.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

Top