Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita.



Nicki amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya kwanza kwenye Billboard, huku Minaj sasa akiwa amefikisha nyimbo nne.

Da Brat na Iggy Azalea ambao wote wana nyimbo mbili zilizofanikiwa kukamata nafasi ya kwanza wanakamilisha idadi ya wasanii wa

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top