Baada
ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema
ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba
huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja.
Akiongea
na Gpl, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima
akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea
hivyo akishahakikisha huyo mwanaume ni mzima huwa ahangaiki kutumia
kinga.
“Japokuwa nawapanga wanaume lakini najali sana afya yangu yaani kila baada ya miezi mitatu huwa naenda kupima kabla sijaingia naye kwenye uhusiano, nikikuta yuko fresh tunaendelea na mapenzi yetu na huwa situmii kinga kwa sababu nakuwa nimeshajua afya yake.

“Ikitokea amenizingua nampiga chini namchukua mwingine naenda kumpima hivyohivyo maisha yanasonga mbele,” alisema Baby Madaha.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment