Picha nyingine aliyopiga kwa mbele ikimuonesha mwenye tabasamu na furaha tele wala bila kujali chochote.
Picha
ya Kim Kardashian inayomwonyesha nusu mtu na nusu mnyama
iliyotengenezwa kumdhihaki mara baada ya kuwekwa hadharani kwa picha
zake za utupu.
Picha
halisi iliyowekwa kwenye Intanet aliyopigwa jijini Paris mwezi Septemba
mwaka huu kwa ajili ya jarida la Paper la Marekani.
PICHA za utupu za mwanadada maarufu duniani Kim Kardashian,
zinazopatikana kwenye jarida la Paper la Marekani tolea la sasa
zimeonekana 'kuutikisa' mtandao wa Intanet na kuwaacha watu na mshangao
na mshituko mkubwa. Kwa mujibu wa mpiga picha maarufu, Jean-Paul Goude,
aliyefanya kazi ya kumpiga picha mwanadada huyu ambaye ni mke wa Kanye
West na mama wa mtoto mmoja, wazo la kuvua nguo lilikuwa na Kim
mwenyewe! Wadau mbalimbali wamemponda Kim kwani wameshindwa kuelewa na
kukubaliana naye kupiga picha ya namna hii ikiwa kama pesa anazo na yeye
ni mke wa mtu na Kanye amekubalije mkewe kuonesha buu lake dunia
nzima?!!.......wanasema dunia 'imesambaratika'!.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment