Kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kama ni
kweli kwamba watu ambao ni wembamba ni bora zaidi ya watu wanene.
Nimelazimika kufanya utafiti kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali wa
ndani na nje ya Tanzania ili kujua ukweli kwenye hilo.
Jibu nililopata ni kwamba kwa asilimia kubwa kuna
ukweli; kwamba walio na wembamba wana uwezo wa kukimbia masafa marefu
zaidi ya wale ambao ni wanene. Japo wanaweza kujitetea, siyo wanene
wengi wenye uwezo wa kukimbia masafa marefu.
Suala la mahaba linahitaji kutumia akili zaidi ya
kufikiri kwamba utamridhisha mwenzi wako kwa sababu wewe ni mwembamba au
mnene.
Ni wanawake wa aina gani wanavutia zaidi katika
suala la mahaba? Utafiti unaonyesha kuwa walio wembamba wana raha yake
kwa sababu furaha ya wanaume wengi ni kudumu katika mahaba kwa muda
mrefu, kwa hiyo walio wembamba wengi huwa hawachoki kwa haraka; miili
yao haina mafuta mengi ya kuwachosha.
Walio wembamba wanaweza kukuruka huku na kule,
wakati kwa wanene, kuna baadhi ya mambo hawawezi kwa sababu ya namna
walivyo. Japo wapo wanene, na wana uwezo wa kwenda huku na kule, siyo
wengi, kama walivyo watu wembamba.
Ni vigumu kuandika kwa kina, lakini kuna baadhi ya
miondoko, watu wanene hawawezi. Kauli kama nimechoka huwa ni nyingi
ukilinganisha na walivyo watu wembamba.
Hata hivyo ninapozungumzia watu wanene nazungumzia
wale ambao hata kutembea kwao ni shida, kwamba wana unene wa
kupitiliza. Kitaalamu huwa inashauriwa kuwa na ‘nyama’….godoro
linalobonyaa-bonyaa huwa ni zuri kuliko lile ambalo gumu sana…si ndiyo
jamani?
Mwanamke kwa mwanaume, unapaswa usiwe mkavu sana,
maana kama ukiwa mkavu sana inasababisha maumivu, maana unaguswa na
mifupa hadi inatia maumivu badala ya raha. Ninachotaka kusema ni kwamba
wanandoa wanapaswa kuhakikisha wanakula, wanaondoa msongo wa mawazo nk
ili wawe na miili inayonawiri….kuwa na mwenzi ambaye mwili umebaki
mifupa…Mhh mnakuwa mnasababishia maumivu jamani…!
Ndiyo ukweli wenyewe
Wanawake wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi
kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya
na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa
Marekani, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dk. Edward Hulow wa
Uingereza.
Wataalamu hawa katika tafiti zao walizofanya
katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba
wanajua miundo mingi wakati wa chakula cha usiku. Hawa walio wengi,
kabla ya kukutana nao inabidi ule ugali na nyama kavu…ukila chips kavu
unaweza kujikuta unaanza kudanganya aaah unajua kazini kuna kitu
nimesahau….aaah nahisi kiuno kinauma nk.
Utafiti unaonyesha asilimia 15 ya wanawake wanene
ndio wanaojua kushiriki vizuri katika mahaba. Sababu inayofanya wanawake
wembamba kuwa wataalamu sana ni kutoka na wepesi walionao
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment