Wewe
kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako,
yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni
changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.
Japokuwa
wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu
wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya
tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa
pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu,
jua wewe ni changudoa au
Post a Comment