Akipiga
stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote
ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato
yakinifu na mpenzi wake wa sasa ambaye hakupenda kumwanika jina lake.
“Natamani
kuongeza mtoto wa pili, Paula ameshakua mkubwa lazima tumtafutie mdogo
wake mambo ndiyo yatakuwa mazuri zaidi,” alisema Kajala.Mtoto huyo wa
awali, Kajala alizaa na prodyuza Paul Matthysse ‘P Funk’ ambaye walishamwagana.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment