Vanessa Mdee na B 2Hajafanya kolabo nyingi sana kiasi cha kusema tumezoea, hii ndio sababu nyingine ukisikia V Money ( Vanessa Mdee ) kaungana na msanii mwingine kufanya kazi ya muziki pamoja unakua na hamu ya kuisikia hiyo kazi yenyewe.
Hata hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni Jumanne wiki hii ndio spika zako zitakupa dakika za hii kolabo inayoitwa siri ambayo inamuhusisha mkali mwingine aitwae Barnaba. @BarnabaClassic
V2Baada ya hii picha kupostiwa yaliandikwa haya maneno >>> Barnaba : line 1/ Tren Langu la kutongoza limefunga (:brake )na Kituo ndo wewe kipenzi Sina mengi Mimi Sio Mtoto wa mujini Nimefunzwa Jandoni Kipenzi- Vanessa :line 1 Hadithi Hadithi uwongo Njoo Haya nieleze Porojo mie bado Mdogo !! Ivi ni Juzi ulikuja na Mauwa . Kulikua na Barua ila sikuifungua’ Song … SIRI … Loading………..:::: traffic ……. Mjiandae kukinga Ajali za masikio ya watu !!! @vanessamdee
Vanessa Mdee na B 2
v4
v3

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top